1. Unacholipia
Unalipia kufungua access ya mikeka, AI analysis, confidence, slip builder, history na tools za premium kwa muda wa package husika.
Sera hii inalinda uwazi wa subscription: unalipia access ya AI analysis na premium tools, si guarantee ya ushindi.
Unalipia kufungua access ya mikeka, AI analysis, confidence, slip builder, history na tools za premium kwa muda wa package husika.
Mara access inapothibitishwa na kufunguka, malipo hayarudishwi. Hii inatumika hata kama hutatumia huduma, umebadili mawazo, au matokeo ya michezo hayajatokea kama ulivyotarajia.
AI inaweza kutoa prediction yenye confidence kubwa, lakini michezo ina uncertainty. Subscription haikuhakikishii ushindi, faida, payout, au matokeo maalum.
Kama umekatwa pesa lakini access haijafunguka, wasiliana na support ukiwa na transaction reference. Tukithibitisha malipo halali, tutafungua access au kurekebisha muda wa subscription; hii si refund ya moja kwa moja.
Wakamaria inasisitiza betting ya uwajibikaji. Usilipie package au kuweka bet kwa pesa usiyoweza kupoteza.