1. Umri Na Wajibu Wa Mtumiaji
Huduma hii ni kwa watu wanaoruhusiwa kisheria kushiriki kwenye sports betting katika eneo lao. Mtumiaji anawajibika kufuata sheria za nchi yake na kutumia mfumo kwa uwajibikaji.
Kwa kutumia wakamaria.com unakubali kuwa huduma hii ni ya AI sports analysis, data interpretation na decision support. Si ahadi ya ushindi wala ushauri wa kifedha.
Huduma hii ni kwa watu wanaoruhusiwa kisheria kushiriki kwenye sports betting katika eneo lao. Mtumiaji anawajibika kufuata sheria za nchi yake na kutumia mfumo kwa uwajibikaji.
Subscription, AI confidence, hit rate, odds, predictions, mikeka, history au analysis yoyote haimaanishi kuwa utashinda. Betting ina risk ya kupoteza pesa, na matokeo ya michezo hayawezi kuhakikishiwa.
Wakamaria AI huchakata data kama form, market movement, odds, risk, confidence na historia. Hata kama analysis inaonekana strong, bado inaweza kukosea kutokana na injuries, lineup changes, market shifts, referee decisions, weather, au tukio lolote lisilotabirika.
Mtumiaji ndiye anayechagua kama atatumia pick, selection au bet code. Wakamaria haitawajibika kwa hasara, missed winnings, stake iliyopotea, account restriction ya sportsbook, au decision yoyote ya mtumiaji nje ya mfumo.
Package hununuliwa kwa muda uliowekwa, mfano siku 30. Access inafunguka baada ya malipo kuthibitishwa. Huduma inaweza kubadilisha muonekano, features, packages au flow kulingana na maboresho ya mfumo.
Baada ya access kufunguka au huduma kutumika, malipo hayarudishwi. Refund haitolewi kwa sababu ya matokeo ya michezo, prediction kukosa, user kubadili mawazo, kushindwa kutumia sportsbook, au changamoto zilizo nje ya udhibiti wa Wakamaria.
Hairuhusiwi kujaribu kuvunja mfumo, kuscrape data, kuuza account, kushare premium content kibiashara, kutumia bot bila ruhusa, au kufanya jaribio lolote la kudanganya malipo, OTP au access.
Malipo, SMS/OTP, sports data, sportsbook code generation na external providers zinaweza kuwa na downtime, delay au makosa. Wakamaria itajitahidi kuboresha huduma lakini haiwajibiki kwa hitilafu za huduma za nje.
Bet only what you can afford to lose. Usitumie pesa ya mahitaji muhimu, usikimbizie hasara, na chukua mapumziko ukiona betting inakuathiri kifedha, kisaikolojia au kijamii.
Wakamaria inaweza kusasisha masharti haya wakati wowote ili kulinda watumiaji, biashara na ubora wa huduma. Kuendelea kutumia mfumo baada ya mabadiliko maana yake umekubali masharti mapya.